Better Clinics
Lifestyle
2 years ago
Dar, Kawe
352
Kuwa tayari kutoa huduma kwa mgonjwa au mteja popote pale atakapohitaji hio huduma.
na pia kuwa tayari kumu escort mgonjwa kutoka nyumbani hadi kituo cha afya ndani na nje ya nchi
Endapo una mgonjwa wako na ungependa apate huduma ya kitaalamu akiwa nyumbani kwake wasiliana nasi.
Punguza gharama kubwa za kumuhudumia mgonjwa akisubiri kupona hospitalin. unaweza kutumia manesi na madaktari wetu kwa gharama nafuu kabisa.
kwa wale wanaotaka huduma ya masaa 24/7 pia ipo. Au kama unataka huduma ya saa chache pia ipo.
Huduma zetu kama hizi
1. utunzwaji wa mgonjwa wa ujumla usafi n.k
2. uchunguzi wa afya na hatua za kuchukua kabla ya kumpeleka hospital
3. kusimamia dawa na lishe kwa mgonjwa
4. kutathmini na kupanga mahitaji ya matibabu na lishe
5. Historia ya mgonjwa siku kwa siku na kuituma kwa daktari wetu
6.Huduma ya haraka ktk dharura kumfanyia mazoezi ya mwili na counseling.
7. mazingira salama na safi kufuata kanuni za afya.