Connection is not secure, can't load ads.

p. i. d - Lifestyle

Details
  • Name:

    P. I. D

  • Type:

    Lifestyle

  • Posted:

    2 years ago

  • Location:

    Dar, Sinza

  • Views:

    210

Description

FEMICARE TIBA YA P.I.D, FANGASI, U.T.I

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases (P.I.D) ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake.

Maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix), nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) ijulikanayo kitabibu kama salpingitis.

1⃣ P.I.D HUSABABISHWA NA NINI?
Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na P.I.D, vimelea vya jamii ya 'Neisseria Gonorrhoeae' pamoja na 'Chlamydia trachomatis' ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha P.I.D kwa akina mama.

2⃣ MWANAMKE ANAPATAJE P.I.D?
🔘 Kufanya ngono isiyo salama.
🔘 Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)
🔘 Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)
🔘 Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) kama njia mojawapo ya uzazi wa mpango.
🔘 Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

3⃣ DALILI ZA P.I.D NI ZIPI?
🔘 Maumivu makali ya nyonga, tumbo au chini ya kitovu.
🔘 Kutoka majimaji yasiyo ya kawaida yenye harufu mbaya
🔘 Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
🔘 Kupata maumivu ya mgongo.
🔘 Mwanamke kutokwa na uchafu sehemu za siri wa rangi ya (cream) maziwa mtindi, kijani au mweupe unaoambatana na harufu kali.
🔘 Maumivu wakati wa kukojoa, kukojoa mara kwa mara, kukojoa kwa shida.
🔘 Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi.
🔘 Maumivu makali chini ya kitovu, kuhisi kichefuchefu, kutapika, homa kali kupita kiasi.

MADHARA YA P.I.D NI YAPI?
🔘 Kupata ugumba na kupata utasa
🔘 Kukosa kujiamini mbele za watu
🔘 Mimba kutoka
🔘 Kuharibu mfumo wa uzazi
🔘 Kuvurugika kwa homoni na kupelekea hedhi isiyo na mpangilio
🔘 Kutokufurahia tendo la ndoa
🔘 Kati ya wanawake 10 wenye P.I.D, mmoja anakuwa mgumba kwa sababu P.I.D hupelekea makovu kwenye mirija ya uzazi.

4️⃣ MATIBABU:
Namna ya kupona kabisa P.I.D, U.T.I SUGU na FANGASI:

🔘 Itumie Femicare mara moja kwa siku
🔘 Tumia siku 7 hadi 10

🔘 Kwa tiba na ushauri: ****-***-***
https://wa.me/+****-***-***
🌹 GROUP KUJIPATIA FAMICARE CLEANSE

Lifestyle

Author Information
avatar

pius Ragita

Joined: 2 years ago
  • More Ads

    5

Connection is not secure, can't load ads.
Connection is not secure, can't load ads.

Related Ads

product
  • 96
supplenrs
Dar, Mjimwema   1 year ago
Lifestyle
product
  • 103
nutrition
Dar, Mjimwema   1 year ago
Lifestyle
product
  • 293
dr cow
Dar, Sinza   2 years ago
Lifestyle
product
  • 329
kisoga
Mbeya, Ilomba   2 years ago
Lifestyle
product
  • 274
micro2 cycle
Dar, Sinza   2 years ago
Lifestyle
product
  • 207
bawasiri inatibika bila oparation
Dar, Sinza   2 years ago
Lifestyle
product
  • 249
femicare
Dar, Sinza   2 years ago
Lifestyle
product
  • 262
ogelea nasi
Dar, Masaki   2 years ago
Lifestyle
product
  • 583
better health
Dar, Mikocheni   2 years ago
Lifestyle
product
  • 352
better health
Dar, Mikocheni   2 years ago
Lifestyle
product
  • 454
stemcells therapy treatment
Dar, Mikocheni   2 years ago
Lifestyle
product
  • 352
better clinics
Dar, Kawe   2 years ago
Lifestyle

Connection is not secure, can't load ads.